KWA JINA NAITWA PHILLIPO JACOB NI MPIGA PICHA ZA MNATO TUNA EDIT PICHA NA TUNASHOOT VIDEO KWENYE MAHARUSI NA SHUGHULI MBALI MBALI.NNA UZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA 15 KATIKA FANI HII KAZI ZANGU ZINA UBORA WA HALI YA JUU NATUMIA VIFAA VYA KISASA.NAPATIKANA IRINGA MJINI MAENEO YA MSHINDO KAMA UKIHITAJI KUFANYA KAZI NAMI TUWASILIANE MUDA WOWOTE.KARIBUNI SANA
MAWASILIANO YANGU
MOBILE +255 718 098 990
+255 767 298 990
BARUA PEPE: kandeovideoproduction@gmail.com
IRINGA,TANZANIA
0 comments:
Post a Comment